Nenda kwa yaliyomo

Hezekiah Oluwasanmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hezekiah Adedunmola Oluwasanmi (12 Novemba 191915 Agosti 1983) alikuwa mwanataaluma na profesa wa Nigeria ambaye alihudumu kama Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Obafemi Awolowo (OAU) kuanzia mwaka 1966 hadi 1975 pia alikuwa na mchango mkubwa sana katika kuanzishwa kwa chuo hicho.[1]

  1. "Great Ife Alumni Association". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-29. Iliwekwa mnamo 2011-01-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hezekiah Oluwasanmi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.