Nenda kwa yaliyomo

Herta Müller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herta Müller (2019)

Herta Müller (alizaliwa 17 Agosti 1953) ni mwandishi kutoka nchi ya Romania aliyetumia lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 2009 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Fasihi.

Alizaliwa Nițchidorf, Kaunti ya Timiș, Romania. Toka mwanzoni mwa miaka ya 1990, alijulikana duniani kote na kazi zake kutafsririwa kwa zaidi ya lugha ishirini.[1]

Müller anajulikana kwa kazi zake zilizoonyesha madhara ya ukandamizaji na unyama hasa wakati wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Romania chini ya uongozi wa kidikteta wa Nicolae Ceaușescu. Kazi zake nyingi ziliandikwa kwa mtazamo wa Wajerumani wa Romania na pia kuhusu historia ya sasa ya Wajerumani wanaoishi Banat na Transylvania. Kitabu chake maarufu cha mwaka 2009 The Hunger Angel (Atemschaukel) kinazungumzia kufukuzwa kwa Wajerumani toka Romania kwenda kwenye jela za kazi ngumu Urusi wakati Urusi ilipoitawala Romani.

Müller amepokea zaidi ya tuzo ishirini hadi hivi sasa, ikiwemo ni pamoja na Kleist Prize (1994), Aristeion Prize (1995), International Dublin Literary Award (1998) na Franz Werfel Human Rights Award (2009). Oktoba 8, 2009, Swedish Academy ilimtangaza kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Fasihi.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Nadhari[hariri | hariri chanzo]

Müller signing one of her books in September 2009

Ushairi[hariri | hariri chanzo]

Mhariri[hariri | hariri chanzo]

 • Theodor Kramer: Die Wahrheit ist, man hat mir nichts getan ("The Truth Is No One Did Anything to Me"), Vienna 1999
 • Die Handtasche ("The Purse"), Künzelsau 2001
 • Wenn die Katze ein Pferd wäre, könnte man durch die Bäume reiten ("If the Cat Were a Horse, You Could Ride Through the Trees"), Künzelsau 2001

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Literaturnobelpreis geht an Herta Müller | Kultur & Leben | Deutsche Welle | 8 October 2009. Dw-world.de. Retrieved on 2009-10-26.
 2. Müller, H. Nadirs. U of Nebraska Press. ISBN 978-0-8032-3583-0.
 3. On Google Books Retrieved on 7 October 2009
 4. Review Retrieved on 7 October 2009.
 5. "The Hunger Angel". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 11 Juni 2017. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
 6. Zentrum gegen Vertreibungen Archived 2011-06-07 at the Wayback Machine. Z-g-v.de (2002-01-17). Retrieved on 2009-10-26.
 7. Post, Chad W. (10 Aprili 2013). "2013 Best Translated Book Award: The Fiction Finalists". Three Percent. Iliwekwa mnamo 2013-04-11.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Soma zaidi[hariri | hariri chanzo]

 • Nina Brodbeck, Schreckensbilder, Marburg 2000.
 • Thomas Daum (ed.), Herta Müller, Frankfurt am Main 2003.
 • Norbert Otto Eke (ed.), Die erfundene Wahrnehmung, Paderborn 1991.
 • Valentina Glajar, "The Discourse of Discontent: Politics and Dictatorship in Hert Müller's Herztier." The German Legacy in East Central Europe. As Recorded in Recent German Language Literature Ed. Valentina Glajar. Camden House, Rochester NY 2004. 115–160.
 • Valentina Glajar, "Banat-Swabian, Romanian, and German: Conflicting Identities in Herta Muller's Herztier." Monatshefte 89.4 (Winter 1997): 521-40.
 • Maria S. Grewe, "Imagining the East: Some Thoughts on Contemporary Minority Literature in Germany and Exoticist Discourse in Literary Criticism." Germany and the Imagined East. Ed. Lee Roberts. Cambridge, 2005.
 • Maria S. Grewe, Estranging Poetic: On the Poetic of the Foreign in Select Works by Herta Müller and Yoko Tawada, New York: Columbia UP, 2009.
 • Brigid Haines, '"The Unforgettable Forgotten": The Traces of Trauma in Herta Müller's Reisende auf einem Bein, German Life and Letters, 55.3 (2002), 266–81.
 • Brigid Haines and Margaret Littler, Contemporary German Women's Writing: Changing the Subject, Oxford: Oxford UP, 2004.
 • Brigid Haines (ed.), Herta Müller. Cardiff 1998.
 • Martin A. Hainz, "Den eigenen Augen blind vertrauen? Über Rumänien." Der Hammer – Die Zeitung der Alten Schmiede 2 (Nov. 2004): 5–6.
 • Herta Haupt-Cucuiu: Eine Poesie der Sinne ("A Poetry of the Senses"), Paderborn, 1996.
 • Herta Müller, Berlin, 1992.
 • Herta Müller, Munich, 2002.
 • Ralph Köhnen (ed.), Der Druck der Erfahrung treibt die Sprache in die Dichtung: Bildlickeit in Texten Herta Müllers, Frankfurt am Main: Peter Lang, 1997.
 • Lyn Marven, Body and Narrative in Contemporary Literatures in German: Herta Müller, Libuse Moníková, Kerstin Hensel. Oxford: Oxford University Press, 2005.
 • Grazziella Predoiu, Faszination und Provokation bei Herta Müller, Frankfurt am Main, 2000.
 • Diana Schuster, Die Banater Autorengruppe: Selbstdarstellung und Rezeption in Rumänien und Deutschland. Konstanz: Hartung-Gorre-Verlag, 2004.
 • Carmen Wagner, Sprache und Identität. Oldenburg, 2002.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herta Müller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.