Hersi Ally Said

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Hersi Ally Said (Injinia, Caamil 88), Alizaliwa mnamo 27 July, 1984 Mkoa wa Dodoma, Tanzania.[1] Ni mhandisi kwa Taaluma, Lakini pia ni mfanyabiashara mkubwa Nchini Tanzania. Anajulikana zaidi Kwa Kazi mbali mbali alizozifanya ikiwemo Ujenzi wa Jengo La upasuaji katika Hospitali ya Mwananyamala.[2][3] Aliwahi kuchaguliwa kama mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye michuano ya kimataifa ya kuwania kufuzu ushiriki wa kombe la dunia na Kuisaidia Taifa stars Kupata Ushindi.[4]


Hersi Ally Said
Jina la asiliHersi Ally Said
Amezaliwa27 July, 1984
UtaifaTanzania
Majina mengineCaamil_88
Kazi yakeMhandisi
AsasiGSM Group Of companies, Young Africans S.C
Kazi maarufuYoung Africans S.C.
CheoMkurugenzi wa uwekezaji na usajiri Young Africans S.C.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Hersi alizaliwa mkoa wa Dodoma, na kupata elim yake ya shule ya msingi Shule ya msingi Kisarawe - Pwani. Baada ya Familia yake kuhama kutoka Dodoma mpka pwani. Baada ya hapo alijiunga na shule ya Sekondari Hijra Seminary Technical school.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mpaka sasa Hersi ni Mkurugenzi wa uwekezaji na usajili katika timu ya kandanda ya Young Africans S.C Ambapo kupitia yeye amefanikiwa kuhamisha mfumo wa uendeshaji kutoka mfumo wa kizamani kuja mfumo wa kisasa, Lakini pia ameweza kuiunganisha timu hiyo na chama kikubwa cha mpira kutoka Ughaibuni La Liga ambapochama hicho kitaisaidia tim hiyo katika kuhamisha mifumo wa uendehsajio wa Klabu hiyo ya mpira.[5]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. GSM explains concept behind Yanga SC’s new 2020/21 jersey | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  2. RC MAKONDA AZINDUA JENGO LA UPASUAJI MWANANYAMALA LILILOGHARIMU TAKRIBAN MILIONI 420. HADI KUKAMILIKA KWAKE. (en). www.kinondonimc.go.tz. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  3. http://www.dsm.go.tz/storage/app/uploads/public/5a6/a0d/8cc/5a6a0d8cc3c76484560649.pdf
  4. Kamati ya kusaidia Taifa Stars ifuzu AFCON 2019 yateuliwa - china radio international. swahili.cri.cn. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  5. Yanga SC seal historic agreement with La Liga and Sevilla FC | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]