Herode Filipo II
Mandhari
Herode Filipo II (26 KK - 34 BK) alikuwa mtawala wa Iturea, Trakoniti na maeneo ya jirani[1][2] kuanzia mwaka 4 KK hadi kifo chake. Alizaliwa na mfalme Herode Mkuu na Kleopatra wa Yerusalemu.
Anatajwa katika Injili ya Luka 3:1.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Vol. 10: The Augustan empire, 44 B.C.–A.D. 70. Cambridge: Cambridge University Press.
{{cite book}}:|work=ignored (help)- J. B. Bury; S.A. Cook; F.E. Adcock; M.P. Charlesworth; N.H. Baynes, whr. (1965) [latest reprint]. ~.
- Bowman, Alan K.; Champlin, Edward; Lintott, Andrew, whr. (2001) [1996]. ~. Cambridge University Press. ISBN 0521264308. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2022.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
- Kokkinos, Nikos (1998). "The Herodian Dynasty: Origins, Role in Society and Eclipse". Journal for the Study of the Pseudepigrapha, Supplement Series. Sheffield: Sheffield Academic Press: 236–240.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Philip the Tetrarch entry in historical sourcebook by Mahlon H. Smith
- Herod Philip II biographical entry
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herode Filipo II kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |