Nenda kwa yaliyomo

Hermann wa Reichenau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwenye heri Hermann alivyochorwa.

Hermann wa Reichenau (au Herman Mlemavu, anayejulikana pia kwa majina mengine; 18 Julai 1013 – 24 Septemba 1054) alikuwa mtawa Mbenedikto na msomi wa karne ya 11. Aliandika kazi mbalimbali kuhusu historia, nadharia ya muziki, hisabati, na astronomia, pamoja na tungo nyingi za nyimbo za kidini.

Kwa muda mrefu amehusishwa na utunzi wa nyimbo za "Salve Regina", "Veni Sancte Spiritus",[1] na "Alma Redemptoris Mater",[2][3] ingawa uhusiano huo wakati mwingine hutiliwa shaka.

UthibitishO wa Heshima yake na kutangazwa kwake mwenye heri na Kanisa Katoliki vilifanyika Roma mwaka 1863.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba.

  1. "Hermann", Encyclopaedia Britannica, juz. la Vol. XI (tol. la 9th), 1880.
  2. The Tradition of Catholic Prayer by Christian Raab, Harry Hagan 2007 ISBN 0-8146-3184-3 ukurasa wa 234
  3. Handbook of Prayers by James Socías 2006 ISBN 0-87973-579-1 ukurasa wa 472
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.