Nenda kwa yaliyomo

Hermín Negrón Santana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hermín Negrón Santana (10 Novemba 193710 Machi 2012) alikuwa askofu msaidizi katika Jimbo Kuu la Kikatoliki la San Juan de Puerto Rico. Alitawazwa kuwa askofu na Papa Yohane Paulo II mnamo tarehe 7 Septemba 1981.[1]

  1. Cheney, David M. "Bishop Hermín Negrón Santana †". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Juni 16, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.