Nenda kwa yaliyomo

Herbert C. Kodilinye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Herbert C. Kodilinye alikuwa Makamu Mkuu wa nne wa Chuo Kikuu cha Nigeria, Nsukka (UNN). Moja ya machapisho yake ya kitaaluma lilihusu saratani ya macho kwa watoto na nyanja yake ya utaalamu ilikuwa ofthamolojia tiba ya macho.

Kodilinye aliingizwa kama mwanachama mwanzilishi wa Akademia ya Sayansi ya Nigeria mwaka 1977. [1] [2]

  1. "Foundation fellows – The Nigerian Academy of Science". nas.org.ng (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-22. Iliwekwa mnamo 2017-12-20.
  2. Kodilinye, Herbert C. (1967-03-01). "Retinoblastoma in Nigeria: Problems of Treatment". American Journal of Ophthalmology (kwa English). 63 (3): 469–481. doi:10.1016/0002-9394(67)90246-2. ISSN 0002-9394. PMID 6019534.{{cite journal}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert C. Kodilinye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.