Nenda kwa yaliyomo

Henry van Lieshout

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henry van Lieshout (19 Mei 1932 huko Venlo – 24 Desemba 2009 huko Lae) alikuwa askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Lae, Papua Guinea Mpya.

Alizaliwa Uholanzi, akapewa daraja ya upadre tarehe 12 Julai 1959. Tarehe 15 Novemba 1966, Papa Paulo VI alimteua kuwa askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Lae na alipewa daraja ya uaskofu tarehe 5 Machi 1967.

Askofu van Lieshout alistaafu tarehe 15 Januari 2007.

    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.