Henry P. Monaghan
Mandhari
Henry Paul Monaghan (26 Mei 1934 – 1 Januari 2025) alikuwa msomi wa sheria kutoka Marekani. Alikuwa Profesa wa Sheria ya Katiba katika shule ya sheria ya Columbia, akiwa na cheo cha Harlan Fiske Stone Professor, kuanzia 1988 hadi 2019. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Henry P. Monaghan". American Academy of Arts & Sciences (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry P. Monaghan kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |