Nenda kwa yaliyomo

Henry Mdimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Mdimu

Henry Mdimu (amezaliwa 4 Agosti 1976) ni mwanzilishi wa shirika la Imetosha Foundation, shirika linaloelimisha na kuwasaidia maalbino nchini Tanzania juu ya namna ya kujitambua pamoja na masuala ya kiafya yanayowakumba. [1]