Henry Joseph Soenneker
Mandhari
Henry Joseph Soenneker (27 Mei 1907 – 24 Septemba 1987) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.
Alihudumu kama askofu wa pili wa Jimbo la Owensboro, Kentucky, kuanzia 1961 hadi alipostaafu mwaka 1982.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |