Nenda kwa yaliyomo

Henry Hugh Armstead

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henry Hugh Armstead (Juni 18, 1828Desemba 4, 1905) alikuwa mchongaji na mchoraji picha wa Uingereza, alikuwa mwanachama wa Pre-Raphaelites. Alichaguliwa kuwa mwanachama wa Royal Academy (RA) mwaka 1875.[1]

  1. "'Henry Hugh Armstead RA". Mapping the Practice and Profession of Sculpture in Britain and Ireland 1851–1951. University of Glasgow History of Art and HATII, online database 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 3 Juni 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Hugh Armstead kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.