Nenda kwa yaliyomo

Henry Cavill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Cavill
Cavill Mnamo mwaka 2019
Amezaliwa5 Mei 1983 (1983-05-05) (umri 43)
UtaifaMuingereza
Majina mengineHenry William Dalgliesh Cavill
Kazi yakeMwigizaji.
Miaka ya kazi2001-hadi sasa
MwenzaNatalie Viscuso (2021–Mpaka Sasa)
Watoto1

Henry William Dalgliesh Cavill (alizaliwa 5 Mei 1983) ni muigizaji kutoka Uingereza. Alipata umaarufu sana kwa kuigiza uhusika wa kama Superman katika mfululizo wa filamu za Ulimwengu wa sinema DC (DC Extended Universe).

Alianza kuigiza kwenye filamu ya Man of Steel (2013) , Batman V Superman: Dawn of Justice (2016) na Justice League (2017) na pamoja kuonekana kwa mda mfupi katika filamu ya Black Adam (2022)[1].

Cavill alianza kuonekana kwenye runinga kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2002 katika filamu iliyoitwaThe Inspector Lynley Mysteries. Baadaye aliigiza kama Charles Brandon katika tamthilia iitwayo The Tudors (20072010), na pia aliigiza uhusika wa Geralt wa Rivia katika mfululizo wa tamthilia ya Netflix inayoitwa The Witcher (20192023).

Cavill alianza tansia yake ya kuigiza filamu kwenye filamu ya Laguna, na baadaye akaigiza kwenye filamu ya Immortals (2011), The Man from U.N.C.L.E. (2015), Mission: Impossible – Fallout (2018), na kama muhusika aliyeitwa Sherlock Holmes katika filamu ya Enola Holmes (2020–hadi sasa) pamoja na filamu ya Argylle (2024) na The Ministry of Ungentlemanly Warfare (2024)[2].

Orodha ya Tamthilia na Filamu

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Kichwa Uhusika Maelezo Marejeo.
2001 Laguna Thomas Aprea
2002 The Count of Monte Cristo Albert Mondego
2003 I Capture the Castle Stephen Colley
2005 Hellraiser: Hellworld Mike
2006 Tristan & Isolde Melot
Red Riding Hood The Hunter
2007 Stardust Humphrey
2009 Whatever Works Randy Lee James
Blood Creek Evan Marshall
2011 Immortals Theseus
2012 The Cold Light of Day Will Shaw
2013 Man of Steel Clark Kent / Superman
2015 The Man from U.N.C.L.E. Napoleon Solo
2016 Batman v Superman: Dawn of Justice Clark Kent / Superman
2017 Sand Castle Capt. Syverson
Justice League Clark Kent / Superman
2018 Mission: Impossible – Fallout August Walker
Night Hunter Det. Walter Marshall
2020 Enola Holmes Sherlock Holmes
2021 Zack Snyder's Justice League Clark Kent / Superman
2022 Black Adam Uhusika Mdogo ;
Enola Holmes 2 Sherlock Holmes [3]
2023 The Flash Clark Kent / Superman Uhusika mdogo{{The actor’s likeness was digitally recreated for a cameo appearance in The Flash using CGI. Cavill filmed additional scenes as the character for the film, but they were removed during post-production.}} [4]
2024 Argylle Agent Aubrey Argylle [5]
The Ministry of Ungentlemanly Warfare Gus March-Phillipps [6]
Deadpool & Wolverine Logan / Wolverine / "Cavillrine" Uhusika Mdogo [7]
Itatangazwa In the Grey John Grey Ipo Kwenye Utayarishaji [8]
Itatangazwa Voltron King Alfor Ipo Kwenye Utayarishaji [9]
Itatangazwa Enola Holmes 3 Sherlock Holmes Ipo Kwenye Utayarishaji [10]

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Kichwa Uhusika Maelezo Marejeo.
2002 The Inspector Lynley Mysteries Chas Quilter Sehemu ya Kwanza
Goodbye, Mr. Chips Soldier Colley Tamthilia
2003 Midsomer Murders Simon Mayfield Kipindi: "The Green Man" [11][12]
2007–2010 The Tudors Charles Brandon Main role, Vipindi 38
2019–2023 The Witcher Geralt of Rivia Uhusika Mkuu, Vipindi 24 (Misimu 1–3) [13]
  1. "- YouTube". www.youtube.com. Iliwekwa mnamo 2025-11-07.
  2. "Ten Things About... Henry Cavill". Digital Spy (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2013-04-17. Iliwekwa mnamo 2025-11-07.
  3. "Cavill confirmed in Instagram post he has wrapped filming on Enola Holms 2". www.screenrant.com. 28 Novemba 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "The Flash Cameos: All the Batmen and Supermen, Plus That Post-Credits Scene Explained". variety.com. 16 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 16 Juni 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Confirmed Wrap on Filming for Argylle". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Wiseman, Andreas (28 Oktoba 2022). "Henry Cavill & Eiza González To Lead Guy Ritchie WWII Action Spy Pic The Ministry Of Ungentlemanly Warfare For Jerry Bruckheimer & Black Bear International — AFM Hot Pic". Deadline Hollywood. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Zalben, Alex (Julai 25, 2024). "Deadpool and Wolverine wasn't content with bringing Hugh Jackman back, it also went and got itself some DCEU royalty". GamesRadar+. Iliwekwa mnamo Julai 25, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Wiseman, Andreas (Oktoba 27, 2023). "Guy Ritchie's Action Movie With Jake Gyllenhaal, Henry Cavill & Eiza González Sells Around The World For Black Bear, Film Wraps In Spain". Deadline Hollywood. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 28, 2023. Iliwekwa mnamo Oktoba 28, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Kit, Borys (Oktoba 10, 2024). "Henry Cavill to Star in 'Voltron' for Amazon MGM (Exclusive)". The Hollywood Reporter. Iliwekwa mnamo Oktoba 10, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Dillio, John (22 Aprili 2025). "Enola Holmes Is on the Case Again in Enola Holmes 3". Netflix Tudum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Aprili 2025. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "The Green Man – Guest Cast | TVmaze". www.tvmaze.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Midsomer Murders: The Green Man (TV) (2003)" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Aprili 2022. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. Whalen, Andrew (3 Juni 2019). "'The Witcher' Netflix series release date may be in December". Newsweek. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)