Nenda kwa yaliyomo

Henry Abramson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henry Abramson (amezaliwa 1963) ni mwanahistoria Myahudi wa madhehebu ya Orthodox ambaye kwa sasa ni mkuu (dean) wa Lander College for Men katika Touro College, iliyoko Flatbush, New York. Kabla ya hapo, alihudumu kama Mkuu wa Masuala ya Taaluma na Huduma za Wanafunzi katika Touro College South mjini Miami. Taasisi hizi zote ni sehemu ya Touro University System.[1]

Anajulikana hasa kwa mafundisho yake kuhusu historia ya Wayahudi pamoja na dini ya Uyahudi.

  1. ["News) & Events". {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Abramson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.