Hellen Lukoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hellen Lukoma ni mwigizaji, mwanamitindo, mbunifu wa mitindo na mwimbaji raia wa Uganda. Anajulikana sana kwa uigizaji wake kama Patra kwenye filamu ya The Hostel[1],Hellen Mutungi katika filamu ya Beneath The Lies.[2] Alipata umaarufu kama mshiriki wa kikundi cha muziki cha wasichana cha The Obsessions kabla ya kuanza kuwa mwanamitindo, ubunifu wa mitindo na uigizaji.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Date with a celeb: Hellen Lukoma meets fan, Robert Kiiza Omuganda". Squoop. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 5 October 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Hellen Lukoma On Her Role In 'Beneath The Lies'". Lockerdome. 
  3. "Hellen Lukoma Biography". Loudest Gist. Iliwekwa mnamo 31 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "DANCER and SINGER in the Former OBSESSIONS HELLEN LUKOMA launches clothing line at Silk Lounge's Genesis Nite". Howe We.