Helen Hays
Mandhari

Helen Hays (22 Januari 1931 – 5 Februari 2025) alikuwa mtaalamu wa ndege na mtetezi wa mazingira kutoka Marekani. Hays aliishi kwenye Kisiwa cha Great Gull kwa miezi sita kila mwaka kwa karibu nusu karne kama mwenyekiti wa kamati ya Kisiwa cha Great Gull katika Jumba la Makumbusho la Historia ya Asili la Marekani. Kufikia mwaka 2014, kazi hii ilifanya idadi ya ndege wa kisiwa hicho (terns) kuongezeka mara kumi ukilinganisha na kiwango cha mwaka 1969. [1][2][3] [4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Laux, E. Vernon (Agosti 21, 2001). "Tiny Island Offers View into Lives of Rare Birds: Terns come back to their Summer Home to Dive, Fish and Nest". The New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-13. Iliwekwa mnamo Oktoba 13, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Woman dedicates life to endangered birds on N.Y. island". CBS News. Septemba 3, 2014. Iliwekwa mnamo Oktoba 11, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "UConn Names 2015 Honorary Degree Recipients". today.uconn.edu (kwa American English). University of Connecticut. Mei 1, 2015. Iliwekwa mnamo Oktoba 13, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Via McCollough, Anne; Gravitas Ventures (Firm); Kanopy (Firm) (2023), Full Circle, [San Francisco, California, USA]: Gravitas Ventures, Kanopy Streaming,
- ↑ "Harlem International Film Festival 2021". Harlem International Film Festival 2021. Iliwekwa mnamo Februari 13, 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Helen Hays kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |