Nenda kwa yaliyomo

Helah Kiprop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Helah Kiprop Jelagat (alizaliwa 7 Aprili 1985) ni mwanariadha wa Kenya wa mbio za umbali mrefu anayeshindana katika nusu marathon na marathon kamili. Rekodi zake binafsi katika mashindano haya ni dakika 1:07:39 kwa nusu marathon na saa 2:21:27 kwa marathon kamili.[1]

Amefanikiwa kushinda nusu marathon ya Berlin, nusu marathon ya Egmond, na nusu marathon ya Zwolle. Pia alikuwa mshindi wa Marathon ya Kimataifa ya Seoul mwaka 2014 na alipata nafasi ya nne kwenye Marathon ya Berlin mwaka 2013.[2]

  1. "Corrida di San Geminiano". www.arrs.run. Iliwekwa mnamo 2023-12-21.
  2. "Mosop back from injury takes emphatic cross country win in Eldoret | NEWS | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2023-12-21.
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helah Kiprop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.