Heinrich Leo
Mandhari
Heinrich Leo (17 Machi 1799 – 24 Aprili 1878) alikuwa mwanahistoria wa Prussia, aliyezaliwa katika Rudolstadt, ambapo baba yake alikuwa kasisi wa jeshi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Leo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |