Heidi Klum

Heidi Klum (alizaliwa 1 Juni 1973)[1] ni mwanamitindo, mtangazaji wa televisheni, mtayarishaji, na mfanyabiashara wa Ujerumani na Marekani.
Alionekana kwenye jalada la Sports Illustrated Swimsuit Issue mnamo mwaka 1998 na alikuwa mwanamitindo wa kwanza wa Ujerumani kuwa Victoria's Secret Angel.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Heidi Klum. heidiklum.com. “1. June 1973: My birthday in Bergisch Gladbach, Germany. Bundesrepublik Deutschland”
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Heidi Klum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |