Nenda kwa yaliyomo

Heaven Sent

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heaven Sent ni filamu inayomhusu msichana mwenye kupendwa na kila mtu kwenye jamii inayomzunguka isipokuwa tu familia yake.[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  • Salim Ahmedy Issa.
  • Luckey Lukamo.
  • Neema Ndepanya.
  1. Ndepanya, Neema (2017-08-26), Heaven Sent, Salim Ahmedy Issa, Luckey Luckamo, Neema Ndepanya, Endless Fame Production, iliwekwa mnamo 2025-08-30