Haydee Yorac
Mandhari
Haydee Bofill Yorac (4 Machi 1941 — 12 Septemba 2005) alikuwa mtumishi wa umma, profesa wa sheria, na mwanasiasa mwanamke wa Ufilipino. Alikuwa kaimu mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa Tume ya Uchaguzi (1990-1991).[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "MARTYRS AND HEROES: Yorac, Haydee B." Bantayog ng mga Bayani (kwa American English). 2017-01-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-29. Iliwekwa mnamo 2021-05-16.
- ↑ "Awardees: Yorac, Haydee". Ramon Magsaysay Awards Foundation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-17.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Haydee Yorac kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |