Nenda kwa yaliyomo

Hassan Rashid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Meja Jenerali Hassan Mahmoud Rashad (alizaliwa mwaka 1967) aliteuliwa kuwa mkurugenzi mpya wa chombo kikuu cha kijasusi cha Misri, Huduma ya Ujasusi Mkuu (GIS) mnamo tarehe 16 Oktoba 2024. [1] [2] [3]

  1. "Egypt's Sisi appoints new chief of powerful intelligence agency - AL-Monitor: The Middle Eastʼs leading independent news source since 2012". www.al-monitor.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-04-20.
  2. "Hassan Rashad: Mystery Man Leading Egyptian Intelligence". Grey Dynamics (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-04-20.
  3. "El-Sisi appoints Hassan Rashad head of General Intelligence Service - Politics - Egypt". Ahram Online. Iliwekwa mnamo 2025-04-20.