Hassan Athumani Ngwilizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hassan Athumani Ngwilizi (amezaliwa 1 Aprili, 1944) ni mbunge wa jimbo la Mlalo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Hassan Athumani Ngwilizi (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.