Nenda kwa yaliyomo

Hassam-ud-Din Rashidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hassam-ud-Din Rashidi (20 Septemba 1911 Naudero, Wilaya ya Larkana – 1 Aprili 1982) alikuwa mwanahistoria na mwanataaluma wa Sindhi. Alikuwa mtoto wa Muhammad Hamid Shah Rashidi na mdogo wa mwanasiasa Ali Muhammad Rashidi. [1]

  1. KARACHI: Seminar on Rashdi brothers Dawn 23 March 2006. Retrieved 14 October 2010.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassam-ud-Din Rashidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.