Nenda kwa yaliyomo

Hashim Kambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hashim Kambi (21 Oktoba 1956 - 27 Aprili 2026[1][2][3]) alikuwa mwigizaji nguli wa filamu kutoka nchini Tanzania.[4] Amepata kucheza katika filamu mbalimbali nchini Tanzania. Awali alikuwa mchezaji mpira kupitia klabu ya Yanga.[5]

Baadhi ya filamu zake

[hariri | hariri chanzo]
Orodha ya Filamu
Namba Jina la Filamu
1 Simu ya Kifo
2 Kipusa
3 The Lost Twins
4 Kipuri
5 Zuadiswa
6 Honey Moon
7 Surprise
8 Ripple of Tears
9 Miss Call
10 Romance
11 20% Furaha Iko Wapi
12 The Passion
13 Damu ya Mjomba
14 Bwagamoyo
15 Binti Nusa
16 Sanda Nyeusi
17 Babu Seya
18 Nguvu ya Mapenzi
19 Penzi la Baba
20 Olopong
21 Silent Killer
22 Huba
23 My Fiancee Born Again
24 Pretty Girl
25 Dangerous Deal
  1. "Msanii Mkongwe Wa Filamu Tanzania Hashim Kambi Afariki Dunia Jijini Dar Es Salaam". Swahili Today. 2026-04-27. Iliwekwa mnamo 2026-04-27.
  2. "Mwigizaji Hashim Kambi afariki dunia". Mwanaspoti (kwa Kiingereza). 2026-04-27. Iliwekwa mnamo 2026-04-27.
  3. "Hashim Kambi afariki dunia, chanzo chatajwa". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2026-04-27. Iliwekwa mnamo 2026-04-28.
  4. "MJUE VILIVYO HASHIM KAMBI". Bongo Film Database. Iliwekwa mnamo 2025-07-25.
  5. "Hashim Kambi: Umakini zaidi unahitajika katika uigizaji". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2021-03-18. Iliwekwa mnamo 2025-07-25.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hashim Kambi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.