Nenda kwa yaliyomo

Haruhisa Handa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haruhisa Handa (半田 晴久; amezaliwa 18 Machi 1951) ni kiongozi wa kidini na mfanyabiashara kutoka Japani. Handa ni mwenyekiti na kiongozi wa kiroho wa dini ya Shinto iitwayo World Mate.[1]


  1. ↑ Sharon Verghis (25 Aprili 2015). ["Haruhisa) Handa talks opera and Shinto in rare interview". The Australian. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2020. {{cite news}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)subscription required