Harriet Hudson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harriet Hudson (amezaliwa Januari 22, 1998) ni mpiga makasia anaewakilisha nchi ya Australia. Ni mwana mchezo mwandamizi wa mara mbili na alishinda medali ya michuano ya walioko chini ya miaka 23 na pia ni mwana olimpiki. Alishindana kwenye michuano ya watu wanne kwa wadada jijini Tokyo 2021 nakushinda medali ya shaba.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-21. 
  2. Rowing Australia (2021-06-13). "Rowers Ready for Olympic Regatta with 38 Athletes Selected to Australian Olympic Team". Rowing Australia (kwa en-AU). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-15. Iliwekwa mnamo 2021-12-21.