Harriet Anena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Herriet Anena

Harriet Anena ni raia wa Uganda mwandishi wa mashairi na hadithi mbalimbali. Ni mwandishi wa mashairi ya A Nation In Labour, yaliochapisha mwaka 2015[1].

Elimu na Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Anena alizaliwa na Waacholi na kukulia huko Wilaya ya Gulu, Uganda.[2] Alihitimu shahada ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Makerere, mnamo mwaka 2010 na alimaliza Shahada ya Uzamili ya Sanaa katika haki za binadamu kutoka taasisi hiyo mwaka 2018.ref name="monitor">Joseph Ssemutooke (7 February 2015). The making of a budding poet. Daily Monitor.</ref>

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Book Review: A Nation In Labour - Three voices, one book. somanystories.ug (March 2015).
  2. 'For Me, Life Is Political.' An Interview With Harriet Anena. Short Story Day Africa (30 September 2015).
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harriet Anena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.