Harold Speakman
Mandhari
Harold Dunham Speakman (Novemba 30, 1888 – Septemba 24, 1928) alikuwa mwandishi na msanii nchini Marekani wa mapema karne ya 20.Aliyejulikana zaidi kwa masimulizi yake ya usafiri Here's Ireland (1925) na Mostly Mississippi (1927).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Florence Finch Kelly, “Lounging Down the Mississippi,” review of Mostly Mississippi by Harold Speakman, New York Times, June 17, 1928, 57.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harold Speakman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |