Hapsatou Malado Diallo
Mandhari
Hapsatou Malado Diallo (alizaliwa 14 Aprili 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Senegal anayekipiga kama mshambuliaji kwa klabu ya Liga MX Femenil, FC Juárez, pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Senegal. Diallo anatokea Tambacounda, Senegal.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hapsatou Malado Diallo, le présent et le futur de la Tanière". senego.com. 19 Juni 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hapsatou Malado Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |