Nenda kwa yaliyomo

Hamsini na moja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hamsini na moja ni namba inayoandikwa 51 kwa tarakimu za kawaida na LI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 50 na kutangulia 52.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 17.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamsini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.