Hamilton, New Zealand
Mandhari
Mji wa Hamilton (New Zealand) | |
Mkoa | Waikato |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 37°47′0″ - Longitudo: 175°17′0″E |
Eneo | 98 km² |
Wakazi | 143,000 (mji pekee) 203,400 (pamoja na rundiko) |
Msongamano wa watu | watu 1,459.2 (mji pekee) kwa km² |
Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
Mahali | |
Hamilton (Kimaori: Kirikiriroa) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 143,000 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 98 km². Mji ulinazishwa mwaka 1864.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 3 Machi 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|