Nenda kwa yaliyomo

Halima Tayo Alao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Halima Tayo Alao (alizaliwa 6 Desemba 1956) ni mbunifu wa Nigeria na Waziri wa zamani wa mazingira na makazi wakati wa utawala wa Rais Umaru Yar'Adua.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Halima Tayo Alao alizaliwa 6 Desemba 1956. Alipata elimu ya msingi katika jimbo la Kano, pia alitunukiwa shahada ya awali na shahada ya uzamili ya (Usanifu) kutoka Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello mnamo 1981. Baadae alipata shahada ya uzamili katika utawala wa umma mwaka 2003 kutoka Chuo Kikuu cha Ilorin.[1] Alihudhuria Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Oxford na ni mwanachama wa taasisi ya wasanifu wa Nigeria.

  1. Aziken, Emmanuel (2005-07-08). "Ezekwesili, Mimiko, 10 others on new cabinet list". OnlineNigeria Daily News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2009-12-16.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halima Tayo Alao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.