Hakkâri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:08, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q206895 (translate me))

Hakkâri ni jina la mji wa mbali huko kusini-mashariki mwa nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Hakkâri. Hadi leo hii mji una wakazi takriban 58,145 (sensa ya mwaka wa 2000).

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hakkâri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.