Hakainde Hichilema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sergio Mattarella na Hakainde Hichilema mnamo 2022
Sergio Mattarella na Hakainde Hichilema mnamo 2022

Hakainde Hichilema (alizaliwa Monze, 4 Juni 1964) ni mfanyabiashara na rais mteule wa nchi ya Zambia, Alishinda urais katika uchaguzi wa mwaka 2021 baada ya kugombea mara sita - 2006, 2008, 2011, 2015, 2016 hadi kushinda mwaka 2021.[1] [2]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Hichilema alipata ufadhili wa kusoma katika chuo kikuu cha Zambia na kuhitimu mwaka 1986 na kupata shahada ya Uchumi na Biashara, baadaye alijiunga katika chuo kikuu cha Birmingham nchini Uingereza alikosoma mambo ya fedha na usimamizi wa biashara.[3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hakainde Hichilema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.