Nenda kwa yaliyomo

Hafiz (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hafiz ( حافظ) ni neno kutoka lugha ya Kiarabu na maana yake inaenda sambamba na neno la Kiswahili "hifadhi"; hafiz ni mtu anayehifadhi, hasa maneno ya Qurani. Inaweza kuandikwa pia hafez, hafes au hafis kwa herufi za Kilatini.

Katika utamaduni wa Uislamu linamtaja

  • Hafiz (mtu anayeshika Qurano yote moyoni)

Limekuwa pia jina linalotumiwa mara nyingi kati ya Waislamu kama vile

    • al-Hafiz (1130-1149), mfalme wa nasaba ya Fatimiya huko Afrika Kaskazini
    • Hafez (manmo 1320 hadi 1390), kifupi ch kawaida kwa mshairi Mwajemi Shams al-Din Muhammad Hafez-e Shirazi
    • Hafez al-Assad (1930-2000), rais wa Syria 1971 hadi 2000


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.