Nenda kwa yaliyomo

Hadeel Abdel Aziz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hadeel Abdel Aziz

Hadeel Abdel Aziz 2023
Nchi Jordan
Kazi yake Mwanzilishi na Mkurugenzi wa shirika la, Justice Center for Legal Aid

Hadeel Abdel Aziz (Kiarabu: هديل عبد العزيز) ni mtaalamu wa sheria na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Jordan. Pia ni mmoja wa waasisi na mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake Jordan, na Kituo cha Haki kwa Msaada wa Kisheria (Justice Center for Legal Aid - JCLA).[1][2]Kazi yake inajumuisha kutetea mageuzi ya kimahakama, uboreshaji wa mifumo ya mahakama kwa njia ya kidijitali, na kuendesha miradi ya upatikanaji wa haki kupitia mtandao wa kliniki za msaada wa kisheria. Kliniki hizi hutoa msaada kwa watu wanaokabili changamoto za kisheria katika masuala ya kiraia, jinai, na familia, ikiwemo sheria ya Sharia.[3]

  1. "JCLA signs MoU with Amman's Middle East University | Justice Center for Legal Aid". web.archive.org. 2023-04-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-23. Iliwekwa mnamo 2025-02-10.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  2. Hadeel Abdel Aziz | World Justice Project
  3. "11 women, girls and women protesting Iranian morality police, honored at IWOC Awards", ABC27 (kwa American English), 2023-03-08, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-01, iliwekwa mnamo 2025-02-10
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hadeel Abdel Aziz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.