Nenda kwa yaliyomo

Habiba Osman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amezaliwa Habiba Rezwana Osman
Kazi yake Mwanasheria
Elimu Chuo Kikuu cha Keele (LLB)

Notre Dame Law School (LLM)

Habiba Rezwana Osman ni mwanasheria kutoka Malawi anayejihusisha na masuala ya haki za binadamu, usawa wa kijinsia na utawala bora. Anafanya kazi katika ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN, Women) nchini Malawi.[1]

Tangu Novemba 2020, amekuwa akihudumu kama Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu ya Malawi (Malawi Human Rights Commission – MHRC). Katika nafasi hiyo, anahusika na kukuza na kulinda haki za binadamu nchini Malawi.[2]

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Habiba Osman alikulia Malawi na alisoma A-Level nchini Zimbabwe. Alisoma Sheria na Historia ya Kimataifa katika chuo kikuu cha Keele, Uingereza, na baadaye akapata LLM ya Sheria za Kimataifa za Haki za Binadamu kutoka Notre Dame Law School, Marekani, kupitia Fulbright Scholarship.[3][4][5]

  1. ↑ Nyasa Times Reporter (2012-10-31). "'One-on-one' with Habiba Osman: Militant civil rights defender, human trafficking expert - Columns News Malawi | Nyasa Times" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
  2. ↑ Nyasa Times Reporter (2012-10-31). "'One-on-one' with Habiba Osman: Militant civil rights defender, human trafficking expert - Columns News Malawi | Nyasa Times" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
  3. ↑ Nyasa Times Reporter (2012-10-31). "'One-on-one' with Habiba Osman: Militant civil rights defender, human trafficking expert - Columns News Malawi | Nyasa Times" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
  4. ↑ "Law profiles - Profiling Women Malawi". profilingwomenmw.org (kwa American English). 2021-09-07. Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
  5. ↑ "Big interview with Habiba Osman – Nation Online" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Habiba Osman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.