Nenda kwa yaliyomo

Habib Ayrout

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Habib Ayrout
Amezaliwa Habib
1876
Nchi Misri
Kazi yake mbunifu majengo

Habib Ayrout (18761956) alikuwa mbunifu majengo[1] wa Misri mwenye asili ya Syria. Alishiriki katika upangaji na ujenzi wa Heliopolis (kitongoji cha Cairo).

Alisomea mjini Paris kama mhandisi na mbunifu majengo. Wanawe walikuwa Henry Habib Ayrout, padre wa Kijesuiti, Charles na Max Ayrout, ambao pia walikuwa wabunifu majengo waliokuwa wakifanya kazi mjini Cairo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Habib Ayrout kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Ayrout, Henry Habib (1963). The Egyptian peasant. Internet Archive. Boston, Beacon Press.