Habari (maana)
Mandhari
Habari ina maana tofauti:
- 1 Habari (salamu) – Maneno ya salamu yanayotumika kuulizia hali ya mtu, kama vile:
- Habari yako?
- Habari za asubuhi?
- 2 Habari (taarifa) – Taarifa au maelezo yanayohusu tukio au jambo fulani.
- Mfano: Habari kutoka BBC
- 3 Habari (taaluma ya mawasiliano) – Uwanja wa kitaaluma unaojumuisha uandishi wa habari, uhariri, na utangazaji.
- Mfano: Ninasomea uandishi wa habari na mawasiliano – I’m studying journalism and communication.
