Nenda kwa yaliyomo

Gwendoline Etonde Burnley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gwendoline Etonde Burnley (29 Februari 19327 Machi 2020) alikuwa mwanasiasa na mshauri wa maendeleo kutoka Kamerun. Alikuwa mwanamke wa kwanza kutoka magharibi mwa Mto Mungo kuwa Mbunge katika Cameroon National Assembly, ambapo alihudumu kuanzia 1969 hadi 1988.[1][2]

  1. Tim Mbom, "Women Should Take-up More Seats In Parliament" Archived 2023-03-11 at the Wayback Machine, Cameroon Post, August 18, 2012. Accessed January 3, 2021.
  2. Elizabeth Sleeman (2001). "Burnley, Gwendoline Etonde". The International Who's Who of Women 2002. Psychology Press. uk. 83. ISBN 978-1-85743-122-3.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gwendoline Etonde Burnley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.