Nenda kwa yaliyomo

Guy Butler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guy Butler 1926


Guy Butler
Amezaliwa 21 Januari 1918
Eastern Cape, Afrika Kusini
Amekufa 26 Aprili 2001
Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mshairi
Kipindi 1952-2001

Frederick Guy Butler (21 Januari 1918 - 26 Aprili 2001) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha kama profesa wa Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Rhodes kule Grahamstown. Pia alitunga mashairi mengi.

Orodha ya vitabu vyake

[hariri | hariri chanzo]
  • When Boys Were Men (1969)
  • The 1820 Settlers (1974)
  • Selected Poems (1975)
  • Karoo Morning (1977)
  • Bursting World (1983)
  • A Local Habitation (1991)

Pia alikuwa mhariri wa vitabu:

  • Book of South African Verse (1959)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guy Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.