Gustavo Cerati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gustavo Cerati

Gustavo Adrián Cerati Clark (Buenos Aires 11 Agosti 1959 - 4 Septemba 2014), anayejulikana sana kwa jina la kisanii Gustavo Cerati, alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wanne wa bendi hodari iliyoitwa "Soda Stereo".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]