Gustav Adolf wa Hohenlohe-Schillingsfürst
Mandhari
Gustav Adolf wa Hohenlohe-Schillingfürst (26 Februari 1823 – 30 Oktoba 1896) alikuwa mshiriki wa familia ya Hohenlohe kutoka Ujerumani, akidai kuwa mzao wa Eberhard, mmoja wa makabaila wa kwanza wa Franconia.
Alikuja kuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |