Guillermo Stábile
Mandhari
Guillermo Stábile ( 17 Januari 1905 – 26 Desemba 1966) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu na meneja kutoka Argentina. Alizaliwa Buenos Aires, Argentina. Alicheza kama mshambuliaji na alikua mfungaji bora wa Kombe la Dunia la FIFA la kwanza mwaka 1930 akiwa na mabao 8 katika mechi 4. Alichezea klabu za Huracán, Genoa, Napoli, na Red Star Paris. Baada ya kustaafu, alikua meneja wa Argentina kuanzia 1939 hadi 1960, akiongoza timu kushinda Kopa América mara sita.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guillermo Stábile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |