Nenda kwa yaliyomo

Guillaume Dupuytren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Guillaume Dupuytren, Baron Dupuytren (5 Oktoba 1777 – 8 Februari 1835) alikuwa mtaalamu wa anatomia na mpasuaji wa kijeshi wa Ufaransa.

Ingawa alijipatia sifa kubwa kwa kumtibu Napoleon Bonaparte kutokana na tatizo la bawasiri (hemorrhoids), anafahamika zaidi leo kwa kueleza na kuchunguza hali ya Dupuytren's contracture, ambayo baadaye ilipewa jina lake. Alifanya upasuaji wa kwanza unaohusiana na ugonjwa huo mwaka 1831, na akachapisha matokeo yake katika jarida la tiba la The Lancet mwaka 1834.[1]

  1. Dupuytren, Guillaume (10 Mei 1834). ["Clinical Lectures on Surgery". The Lancet. 22 (558): 222–225. doi:10.1016/S0140-6736(02)77708-8. PMC 5165315. {{cite journal}}: Check |url= value (help)](https://zenodo.org/record/2088201}}[dead link])
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guillaume Dupuytren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.