Nenda kwa yaliyomo

Guglielmo Borghetti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Guglielmo Borghetti (alizaliwa 25 Machi 1954) ni askofu wa Kanisa Katoliki wa Italia na Askofu wa sasa wa Jimbo la Albenga-Imperia.

Hapo awali, alikuwa Askofu wa Jimbo la Pitigliano-Sovana-Orbetello.[1]

  1. "Biografia di S. E. Rev.ma Mons. Guglielmo Borghetti". Diocesi di Albenga-Imperia (kwa Italian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.