Guadalupe, Nuevo León

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guadalupe, Nuevo León


Jiji la Guadalupe
Nchi Mexiko
Jimbo Nuevo León
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 691,931
Tovuti:  www.guadalupe.gob.mx

Guadalupe ndiyo mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Nuevo León. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 691,931 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 3,664,334. Eneo lake ni 151.3 km². Mji upo m 500 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka 1716.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guadalupe, Nuevo León kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.