Grigore I Ghica
Mandhari
Grigore I Ghica (1628 – 1675), mwanachama wa familia ya Ghica, alikuwa mlingeshaji wa Wallachia kati ya Septemba 1660 hadi Desemba 1664, na tena kati ya Machi 1672 hadi Novemba 1673.
Baba yake alikuwa George Ghica, mlingeshaji wa Moldavia (1658–1659) na baadaye mlingeshaji wa Wallachia (1659–1660).[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in Romanian) Description at the Focșani tourist office site
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Grigore I Ghica kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |