Gretchen S. Herbert
Mandhari

Gretchen S. Herbert ni afisa mstaafu wa Jeshi la Majini la Marekani (United States Navy) aliyewahi kuwa kamanda wa Navy Cyber Forces. [1] Amezaliwa Rochester, New York, na mwaka 1984 alihitimu katika Chuo Kikuu cha Rochester, ambako alipata cheo cha afisa kupitia programu ya Naval Reserve Officers Training Corps. Ana shahada ya uzamili ya Systems Technology (Space Systems Operations) kutoka Naval Postgraduate School (1991) na shahada ya uzamili ya Military Studies kutoka Marine Corps Command and Staff College (1998).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.navy.mil/navydata/bios/navybio.asp?bioID=537|article=US Navy Biographies - REAR ADMIRAL GRETCHEN S. HERBERT|accessdate=2011-10-31
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gretchen S. Herbert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |